Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaaamin bila kapic
Umeeona eeh anaongea badala aweke kapicha[emoji23][emoji23][emoji23]Tuma Picha Tukuone Na Wewe Tukusifieeeee
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Akinuna hajulikan akitabasamu hajulikan kazi kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Pole mkuu aliku dump so.....dah vizuri ghaliSimtaki mwanamme mzuri kabisaaa
Nlozaa nae mzuri huyo hamfikii hata kidogo lkn shughuli yake niliipata
KumbeWanaume wanaojipenda haooo na wana marinda na wanaoa vizur na game wanapiga
Sasa hela za shem mi zanini [emoji23][emoji23] wat I care wameridhiana wamependana it's OK. Sasa eti anagari wakati sie tunayo it doesn't make sense.Dhamira nahisi umeshaipata mpaka hapo
Naona umetuwekae mdomo mkuu lolWanaume wanaojipenda haooo na wana marinda na wanaoa vizur na game wanapiga
hakuna kitu kama hicho, Kaoge alikuwa mzuri?! ambao hamjabarikiwa mnapenda kuwazushia wenzenu kuwa mchicha mwiba ni tamaa za muhusika tu85% huwa ni mchicha mwiba... wanaboostiwa kabla ya kuboost...
ZERO LINDA
cc davito na wengineo