my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa. ✍️
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa. ✍️