my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila shaka n mumeo umeamua kumsema
Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku
Mwanaume mwingine Yupo msibana ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili
DaahUnakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
Mungu akupi unachotaka anakupa kunacho staili uyo uyo asye na sifa tajwa kwa maaelezo yako ndo fungu lako iloUnakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
Kuna mwanadada/mwanamama kafa kaoza kwa sifa za mwanaume uliyemtaja hapaUnakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Kwani bado unajiuliza umpende nani?Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
Ati nimeachwa lol mimi na baby wangu hatuachani mwaka huu, mwakani wala mwaka kesho. Kuachana mpk kifo tutenganishe 🙂Umeachwa una hasira ama umepatwa na nini ?, umekasirika sana relax kidogo😂
Soma vizuri nilichoandikamwanaume ukiwa na pesa kila kitu kina kwenda.ilo swali muulize domo aka karanga
Sikumbuki kama nimeandika mume wangu hapo juu 🙄Bila shaka n mumeo umeamua kumsema
Mbona wakat anakuhonga miambili miambil zake ulipokea leo hana umeona umlete huku
Mwanaume mwingine Yupo msiban ukwen Hana hata Mia anasubiri adandie roli la mnadan kurud kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri nilichoandika