Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Haya yote alishajibu.Hivi deep una mke kweli? Kama unae unampenda? Ushawahi kuiwaza familia yako hata kidogo? Au unamuonaga kama mwanasesere tu anaekulelea watoto? You act so immature braza. All the time ni Majay this Majay that. Ni k**@ tu bro ama nini??
Mbaya zaidi wewe ni mwanaume, lakini msimamo huna. Anakuendesha, anakupelekesha lakini wapi umemganda kama ruba! Hivi value gani utawapa watoto wako wa kiume kama unao? Mkeo alikupelekesha ukaonesha msimamo akanyooka lakini huyu kila siku anakunyoosha ila wapi baba!! In the name of pleasure!!
You are wasting your life deep. Anyways kupanga ni kuchagua. Ila one prayer of mine: Hope usifikie mahali ukawa too LATE. Utajilaani sana..utajilaumu SANA.
Mkewe naye mwanzoni alishamsumbua sana na kumwibia