Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Uzuri wa wanawake ni kitu kimoja tu: -Hawafanyi jambo au kuongea kitu kwa kubahatisha.

Kabla hajafanya jambo au kuongea neno lolote kwa mwanaume anakuwa anaelewa kabisa kuwa impact yake itakuaje and how it will ends- hawakurupuki

Wachache wanaokurupuka ndio hao wanaishia kupigwa risasi saba za kichwa na wengine kuchomwa na gunia za mkaa.

Huyo mama j,alishajua udhaifu wako kwake na anadili na mtu wa aina gani,and ofcourse,yes she is right

Hiki anachokufanyia mama j,asingejaribu hata kukiwaza kama angekuwa kwa mwanaume

Take it or leave it
Kwamba keshanisoma vya kutosha au vipi?
 
huyo sio demuhuyo ni orphans mpeleke kituoni wakamlee mana hajakuwa bado. hizo levo za kubanduliwa na bodaboda wasiochana nywele
Kuna uKweli Hapa,
Yaan anakua omba omba mno utadhan yatima, Hii halileti afya kabs ktk mahusiano
 
Ila we jamaa ukiamuaga kuandika inahitaj jobless kusoma. Anyway, wanawake hawachi fulsa, umempa fulsa anaitumia
 
Inaonekana Bado unampenda Sana Kwa maelezo yote hayo
 
Back
Top Bottom