Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hela kakawambia anakopeleka?Kuna uKweli Hapa,
Yaan anakua omba omba mno utadhan yatima, Hii halileti afya kabs ktk mahusiano
Basi msamehe maana anaonekana hajielewi pia ni pasua kichwa 🤣👋Uyu mwanamke Ni hamnazo,japo mtamu Sana[emoji4]
Unatumia nyota yake effectively that’s why huwezi kutenga na huyo mrembo na yeye analijua hilo..ufafanuz kdg Apo kiongozi
Ila ndugu yangu hebu achana na mama jay jamani kama huwezi sema watu wakusaidieUyo Shimba ya Buyenze story zangu zote huwa anapenda kumsoma mamaJ TU Yaan[emoji1]
Huyu mwanamke anajiona cake Sana Yaan afu kimwonekano wa kawaida Sana, angejua wapo wazur weng sn Zaid yake asaingejifaragua hivihahahah kuna wanawake wanawachezea wanaume jamani haki mnawapata wapi aseee pole brother watu tunatafuta wanaume wa ivo ye anawachezea so sad kiukwel
Anajua sehemu za kukutibua au mnatibuana kesho mpo safi. Madai anaumwa kumbe anapiga vyombo 😂Ananiweza kwa lipi chizi tu yule, anapenda kujizima data TU ili kunipima upepo ukoje.
Ujue mkuu kuna mda na umri ukifika unahitaj utulivu,hasa kma umempata mwanamke anakupa kitu roho inapenda, sio kununua nunua tu makahaba ovyo unawalala maana hata condom nazo skuhz haziminiki tenaHivi kuna watu bado wanagharamia wanawake? mae
Mgonjwa gani anaumwa afu anapiga bia?,Anajua sehemu za kukutibua au mnatibuana kesho mpo safi. Madai anaumwa kumbe anapiga vyombo [emoji23]
Somo la haki sawa wamelianzisha wao wenyewe cha ajabu hata wao hawa lihelewi.Baadae anatumia namba ngeni unapokea kumbe Ni yeye, anasema kaazima Simu ya shoga yake,mbona upokei sim zake, anaomba msamaha kwa kauli alizotoa muanze upya. Unasema sawa haina shida.
Kisha anasema vp sasa khs Ela ya kula unatuma? Unamuuliza Inamaana umeniomba msamaha ili upewe Ela ya kula au vipi? Anajibu hapana, msamaha wangu namaanisha. Unamwambia basi Kama unamaanisha jibebe mwnyw kwa Siku zilizobaki kwa mshahara na posho unazolipwa kazin kwako kila siku mpk nikisharudi.
Anadai haiwezekani kujibeba hata akiba ya Mia mbovu ndani hana,atalala njaa. Unamuuliza mshahara na posho za kazin kwake miaka 3 yote kazini anapelekaga wapi Kama anakosa hata Ela ya kujigharamia chakula kwa Siku chache hizi nilizosafiri.
Inamaana unakazi,ila Siku nisipoacha Ela ya kula wewe unakufa njaa? Anakujibu kwamba Wewe Ni mwanaume wangu, posho na mshahara wangu havikuhusu,timiza wajibu wako Kama wanaume wenzio, usitake mtelezo kupitia jasho langu.