Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Sasa kwanini umnyime namba ya ofisi, si ungempa namba ya ofisi πŸ˜‚
Hiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu 🀣🀣🀣

Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!
 
πŸ˜‚ si umwambie tu hapana mbona si wengine waelewa sana.
Nna jamaa yangu akiomba namba akanyimwa huyo dada atakoma kwa maneno ya kejeli
 
Naomba namba yako nifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…