Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Sijakata tamaa nilimjibu kistaarabu kabisa ila siachi kuwa naye karibu.Ustaarabu unalipa mkuu, kuna ke wanavutiwa na kukubali kwa jinsi tu ulivyo muelewa.
Mwingine hakunyimi namba kwa kudhamiria, kuna ke wanapenda ustruggle kuwapata sio kirahisi tu at 1st attempt akupe namba.