Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Binafsi hua siwezi kuomba namba tunapokutana Kwa mara ya kwanza labda kuwe na dili la kazi/pesa!!

Siku hz hata za wale watu wa karibu napo imekua kipengele kusave unakuta Nampa namba ananipigia lkn kusave sizingatii sana najikuta nshapuuzia
 
kisha nikashusha kioo cha gari na kumuuliza yule dada unaenda wapi? Twende nikusogeze. Akasema poa nikamdrop home then nikampa business card.
YEye ndiye alonitafuta.

ujumbe: tutafute hela, namba haiombwi Anatoa mwenyewe.

(Alisikika mzinzi mmoja)
 
Back
Top Bottom