Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafuti
Kuna siku dada mmoja aliniuliza hivyo tuko kwenye lift wawili tu, natoka kazini.

Akawa ananiambia wewe kaka kama nimekuona sehemu. Nikawa nimestuka. Nikamuuliza sehemu gani?

Basi anataja chuo alichosoma, ola, anataja kafanya kazi wapi, ola, anataja anakaa wapi, ola.

Basi nikasema au hapa muwinda nawindwa nini? Nikawa na mtihani fulani hivi.

Ujue hata Amiri Mkuu Jemadari Mfalme Napoleon alivyokuwa anaingia Moscow na kukuta mji upo wazi hauna ulinzi wowote alisita kidogo kuingiza majeshi yake. Asije kuingia kwenye mtego wa kijeshi buree.
 
Kama ndo unaomba namba kama hicho kibonzo huyo mwanamke atakaekupa namba nae akili zake hazijatimia maana atakua anampa namba chizi.

Epuka kujiongelesha sana toa Salam subiri jibu , ingiza neno lingine fupi subiri jibu jinsi anavyokujibu fanya calculation zako kichwani utagundua huyu ni mstaarabu au nae ni mapepe ukion ni mapepe jiandae kudhalilishwa au kupewa namba kwa upande wangu nikiona ni mapepe nakausha siombi namba maana sipendi micharuko

Akiwa ni mstaarabu jiandae kupewa kistaarabu au kukataliwa kistaarabu na yote inabidi ukubaliane nayo akikataa usimlazimishe ikiwezekana mwambie samahani kwa usumbufu na umwambie kwaheri
 
Kama ndo unaomba namba kama hicho kibonzo huyo mwanamke atakaekupa namba nae akili zake hazijatimia maana atakua anampa namba chizi.

Epuka kujiongelesha sana toa Salam subiri jibu , ingiza neno lingine fupi subiri jibu jinsi anavyokujibu fanya calculation zako kichwani utagundua huyu ni mstaarabu au nae ni mapepe ukion ni mapepe jiandae kudhalilishwa au kupewa namba

Akiwa ni mstaarabu jiandae kupewa kistaarabu au kukataliwa kistaarabu na yote inabidi ukubaliane nayo akikataa usimlazimishe ikiwezekana mwambie samahani kwa usumbufu na umwambie kwaheri
Funny fact kidogo😂😂

Muda unampa hiyo salamu anajibu poa huku Speed mara mbili yako unasema sorry penguin speed katoa simu anabonyabonya yule formula zote zinapotea
 
Mimi niliwah ambiwa mtu mwenyewe mweusiii mbaya alafu unaringa 🤣🤣🤣 nikaangua kicheko hata kukasirika nilishindwa.
Ulivyosema kakuita mweusi mawazo yameenda mbali naona kama kakuonea maana hapa kwa I'd yako ni mweupe sana kijeiefu tukija pm yani tunarusha mistari tukitegemea ukikubali tutakutana na mtu mweupe kama huyo.

Japokua tunaweza kuokota dodo tukakutana na Black beauty
 
Back
Top Bottom