Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Funny fact kidogo😂😂

Muda unampa hiyo salamu anajibu poa huku Speed mara mbili yako unasema sorry penguin speed katoa simu anabonyabonya yule formula zote zinapotea
Ukiona anakuepuka na wewe mkaushie kutunza heshima yako dunia inawatu 7B+ huyo mtu mmoja akionyesha hahitaji hata Salam yako achana nae tu kama umempenda sana jaribu tena siku nyingine ukiona hali ni hiyohiyo mkaushie tu hakuna kitu kizuri kama kukubaliana na mambo mapema kuliko kulazimisha mapenzi baadae uje kuwa mtumwa wa hilo penzi bure
 
Simba mwendapole, ndiye mla nyama...
Kuna pis moja ilikuwa inakuja inanikalia inanichezea nikitaka kuivua chup inagoma,inaniambia kama unataka uniahidi utaniowa,alikuwa akisema Tu hivyo namtoa namweka pemben na najitenga mbali alirudia kama five times for days at the end aliamua kujichomekea mwenyewe, of coz am a man of my word siwez kusema kitu ambayo siwez ku-afford
 
Kuna pis moja ilikuwa inakuja inanikalia inanichezea nikitaka kuivua chup inagoma,inaniambia kama unataka uniahidi utaniowa,alikuwa akisema Tu hivyo namtoa namweka pemben na najitenga mbali alirudia kama five times at the end aliamua kujichomekea mwenyewe, of coz am a man of my word siwez kusema kitu ambayo siwez ku-afford
Mkuu una swagger moja tata sana.

Yani kama nakuona una uhakika wako kuwa atakuja tu, hata huna papara naye 🤣🤣🤣
 
Mkuu una swagger moja tata sana.

Yani kama nakuona una uhakika wako kuwa atakuja tu, hata huna papara naye 🤣🤣🤣
Mwanamke akishafika hapo hawez rudi nyuma kwasabu maamuz yeyote atakayochukua ya ku-pull back yatamgarim psychologically maana atakuwa anasumbuliwa na kitu kinaitwa inferiority complex akiwa mazingira ambayo upo, kwahiyo lazma asonge mbele🤠
 
Of coz mi sichezagi ule mchezo wa vischana wa staki kumbe nataka yaan akipotezea wala sijisumbui wala simtafuti hatakama pic kal unless na mpango naye ya baadaye 🤠🤠
Miaka yetu ile tunachipukia, Tiger Woods anatamba, tulikuwa tuna msemo mmoja mtu ukiji feel on top unasema "I'm Tiger Woods".

Mkuu nakuona na wewe kama unasema vile "I'm Tiger Woods".
 
Mwanaume uko vzr unaachaje kwaga sera laivu mpaka ujifiche kwenye keyboard ya simu. Hufai. Hujiamini.

Hapo mwanamke yuko sahihi tu.

Mwimbishe hata shairi la beti 1 bila vina.
Kama unataka namba nenda TCRA .

Tuna vijana na kizazi cha ovyo sana unaume haumo kazi kutetemeka na kumwaga hela . Mbona jogoo huwa haombi namba?
 
Yule mwanaume sijui ana nini haki! Ila alisota na yeye hadi alipotumia mbinu ya kijasusi [emoji23] [emoji23]
Ila nini, kaka mzuri anatosha... Hakuna tena janja janja.
Hakuna cha janja janja . Ujasusi ni hela. Namba utatoa mwenyewe bila kuombwa[emoji2089][emoji2089][emoji1787]
 
Kuna siku dada mmoja aliniuliza hivyo tuko kwenye lift wawili tu, natoka kazini.

Akawa ananiambia wewe kaka kama nimekuona sehemu. Nikawa nimestuka. Nikamuuliza sehemu gani?

Basi anataja chuo alichosoma, ola, anataja kafanya kazi wapi, ola, anataja anakaa wapi, ola.

Basi nikasema au hapa muwinda nawindwa nini? Nikawa na mtihani fulani hivi.

Ujue hata Amiri Mkuu Jemadari Mfalme Napoleon alivyokuwa anaingia Moscow na kukuta mji upo wazi hauna ulinzi wowote alisita kidogo kuingiza majeshi yake. Asije kuingia kwenye mtego wa kijeshi buree.
kwamba ulimkazia??
 
Mwanaume uko vzr unaachaje kwaga sera laivu mpaka ujifiche kwenye keyboard ya simu. Hufai. Hujiamini.

Hapo mwanamke yuko sahihi tu.

Mwimbishe hata shairi la beti 1 bila vina.
Kama unataka namba nenda TCRA .

Tuna vijana na kizazi cha ovyo sana unaume haumo kazi kutetemeka na kumwaga hela . Mbona jogoo huwa haombi namba?
Unakijua ulichoandika hapa unaomuoa mwanamke njiani unamtongoza vipi, unamtpngoza huku anatembea....USE YOUR BRAIN.

Namba ndio first attempt ukiwanayo utapanga appointment or whatever sio unamuona Mwanamke ukonar kwenye mwendokasi mambo, nakupenda, nataka tuwe wapenzi WEWE MWEHU.
 
Unakijua ulichoandika hapa unaomuoa mwanamke njiani unamtongoza vipi, unamtpngoza huku anatembea....USE YOUR BRAIN.

Namba ndio first attempt ukiwanayo utapanga appointment or whatever sio unamuona Mwanamke ukonar kwenye mwendokasi mambo, nakupenda, nataka tuwe wapenzi WEWE MWEHU.
Sema hujui kuanzisha mahusiano. Kwahiyo ukikaa naye Mwendokasi ndio unarukia kuomba namba atagawia wangappi? Fikiri mara mbili. Eti binti anapita zake wewe unamwambia naomba namba zako. Akikupa ni malaya huo.

Kama hujui nenda kwa bibi @Faizafox akufundishwe namna ya kutongoza
 
kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafuti
Huo ni utoto
 
Back
Top Bottom