Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Bulliesโ€ฆ. Tunakuwaga bullied here and there basi tu tunakomaa tutafanyeje?

Mimi kuna kaka chuo alinitaka/aliniomba namba mara ya kwanza tu nilivyofikaโ€ฆ mi nikapotezea, alooooh hamna sehemu nimeishi kwa shida kama chuoni, kuna siku aliniambia nitakujaga kukugonga na gari, ukiniona pita hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mpaka nikawa nashauriwa nikashitaki, asa mi mkubwa mzima nishitaki shitaki vitu kama hivyo naona jau..
Mshamba tu huyo jamaa.
 
Hiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!

Sitakuja kusahau kumbe ni wewe[emoji2][emoji23]
 
Back
Top Bottom