Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kumbe kuna kuombana namba za simu siku hizi?

Zamani ilikuwa binti anakuta Wazee wake wanajadili tu posa yake bila hata yeye kujua....yeye anafikia kuulizwa tu hivi Mtoto wa Mzee Grahams yule anayeishi Arusha una mfahamu?

Binti akisema ndiyo namfahamu, basi huko jikoni Mama yake anapiga vigelegele

Siku hizi unapewa namba ya simu kumbe ya mume/mchumba wake...hujakaa sawa anakutumia mabaunsa kutaka kukuteka

Mambo ya kutaka kuuana kwa presha nani anataka ๐Ÿ˜œ
 
Bulliesโ€ฆ. Tunakuwaga bullied here and there basi tu tunakomaa tutafanyeje?

Mimi kuna kaka chuo alinitaka/aliniomba namba mara ya kwanza tu nilivyofikaโ€ฆ mi nikapotezea, alooooh hamna sehemu nimeishi kwa shida kama chuoni, kuna siku aliniambia nitakujaga kukugonga na gari, ukiniona pita hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mpaka nikawa nashauriwa nikashitaki, asa mi mkubwa mzima nishitaki shitaki vitu kama hivyo naona jau..
Huyo mshamba kweli kweli, na vyuoni wenye magari wanavimbaga haswa.
 
Back
Top Bottom