AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Mshamba mwenyewe kaconfirm.Kuomba namba barabarani ni ushamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba mwenyewe kaconfirm.Kuomba namba barabarani ni ushamba
dah hahahahaha duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni wee huyo hkn Cha jamaa
Simpo, mpe ya kwakoDada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
View attachment 2868899
Hpa mi sichomokiKuomba namba barabarani ni ushamba
Naomba namba ya simu sister tutawasiliwana baadaye. Ulijinyima nitakutolea povu lisilo la sayari hiiPia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Hata kama hutaiweka JAPO inbox nitupue mtu wangu wa nguvu nitakushkuru baadaeUongo huna aibu[emoji23][emoji23][emoji23]mbna mi ulitoa namba yako halisi au niiweke hapa???
Tatizo muda na mizunguko ya maisha inaenda kasi zaidi ya enzi zile, siku hizi ukimuona mtu yuko kibarazani na mtoto wa kike anabembeleza ujue huyo hana cha kufanya na hajitambui.By the way vijana wa siku hizi jifunzeni kutongoza jamani. Yaani mnapwaya mno!
Wenzenu tulitongoza hata bila ya simu na maisha yalikuwa fresh tu [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa tukaombee wapi? Tuwafuate mpaka maofisini, makwao?
kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafuti
wewe mama mzungu wa peramio au mana dah unavyofoka utazani unamjua huyo jamaa we mamamzungu huyu jamaa sio hajiamin huyu jamaa ni MP ni wale wanaowaadhibu wanajesh wakikosea makambin kwao sasa sijui polis gan atakaa? tuache hilo waweza sema anatumia cheo chake aisee we mmama huyu jamaa kama ww ni ke ukimuona mbususu lazima iloe kwa utamu ni sukar ya walembo haswa afu nilisahau huyu jamaa akikukata tu jicho lazima uringe ringa kwa kutompa namb kumbe moyon umelainikaHuyo hajiamiii aje akutane na sisi vichwa vimevurugwa simu moja analala kituo cha polisi kanizalilisha na hivi napenda kurecod matukio
Watu wanaomba msibani ndio iwe roadKuomba namba barabarani ni ushamba
hlf unaenda kwa sangoma akusaidie kupata bwana!1;Ukiomba namba unapewa ila usitegemee simu yako itapokelewa[emoji28][emoji28][emoji28]….
2;Nitakuambia usiwe na shida ukitaka kunipata utanikuta hapa ndio nakaa yaani ndio nitolee sitoi namba kwa stranger
Mimi ndio kanuni yangu hiyo
Unakuta mtu anakwambia tuwe rafiki rafiki which hakunaga rafiki wa mwanaume na mwanamke
Mimi mwanamke akishanijibu mbovu.. naanza kumfanyia devaluation hapo kwa hapo yani sikwepeshi mpaka ajione ni kinyesi haswa haswa.Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.[emoji3][emoji3]
View attachment 2868899
Baadae wanahanza kuhaha kwa makanisa ya kihuni wakitaka ndoaDada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?
Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
View attachment 2868899