Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Duh kwa namna ya hii katuni na majibu ya huyo mwanamke ni kuwa mchoraji alikuwa anakumbusha tu ule msemo "nyani halioni kun..le!"
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Tangu niwe mtu mzima, nimewahi kuombwa namba yangu ya simu mara moja tu, tena na mdada ambaye nilimuonesha ukarimu kwenye daladala πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Bora uninyime namba unitamkie na neno lolote utakalojisikia sio unipe namba halafu nikikupigia unaniblock
 
Jamaa yako ana matatizo ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unauliza ilo swali, seriously? (in babra hassan's voice)
Ndio, maana mie nikuomba mtu yeyote yule number yake ya simu huwa naweka wazi nini dhamiri yangu there and then. Nikikutana na mtu (mwanamme au mwanamke) na tukaanzisha mazungumzo yeyote yale na nikitaka tuwe na mawasiliano zaidi baada ya kuacana pale tulipo, then namwambia lets keep in touch. Ikiwa nemkuwa na mazungumzo na mwanamke na toka nilipoanza mazungumzo nae lengo ni kuwa niko interested nae then namwambia kuwa uwazi kuwa i was interested in her, na kama yuko single na free ningelipenda ku keep in touch with her na tuone kama tunaweza ku click. Hii inasaidia kupotezeana wakati. Na kama mazungumzo yetu yalikuwa ya kikazi au biashara basi pia huweka wazi kabisa kuwa tubadilishane number ili tuzidi ku discuss na kushauriana juu ya lile tulilozungumza.
Sitoki tu pruuuu namkuta demu na baada ya salamu tu ohhh naomba number yako ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…