mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua mtoto ana matatizo ya kiafya ikabidi kwa kuogopa ampigie rafiki yangu aliyempa ujauzoti kuwa amejifungua na mtoto anaumwa.
Baada ya siku mbili kichanga kinafariki,jamaa anakuja msibani.
Baada ya siku saba wamerudiana wanataka kuoana
Kwangu huyu ni mwanamke kilaza sijawahi kuona