Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Uko sahihi,malengo ya jamaa nayafahamu ila ya huyu shemeji sijayajua na hata kama yaoo hayana mashiko
Huyo jamaa yako hajatumia ndumba kumteka kiakili na machungu yote ya kuondokewa na mtoto ndani ya siku 7 arudiane na mtu aliye mtenda kirahisi kuna uwalakini
 
Huyo jamaa yako hajatumia ndumba kumteka kiakili na machungu yote ya kuondokewa na mtoto ndani ya siku 7 arudiane na mtu aliye mtenda kirahisi kuna uwalakini
Huenda kuna ndumba maana jamaa ni mshirikina fulani hivi
 
Hayana komando mapenzi, ukipenda unakuwa zaidi ya chizi ndio sababu watu wanasafiri kati ya bara moja na jingine sababu ya mapenzi.

Ujue ukikaa ukatafakari kwa kina ni kwanini umemuoa huyo mkeo unaishi naye unaweza ukajicheka!

Hilo linaitwa pendo la wazimu.....huambiwi kitu, hisikii, huoni, hunusi. Umefunga milango yote ya fahamu
Nyege zikiisha na upendo unakwisha
 
Mapenzi yakiwaki sana sijawahi fikia huko namuomba Mungu nisiwahi penda hivyo.
Ndio vile nimesema ni baadhi si wote, ukiangukia kwa kundi la wanaopenda hadi tunaogopa ni shida sana
 
Wanawake kamwe usitegemee wafanye maamuzi sahihi katika mambo ya maana maana wanaendeshwa na emotion zaidi...!!
 
Oooo pole yake dada asali sana
Hapo hakuna uchawi hata toneee...!! Hivi hamjawahi kuona mwanamke kakataliwa na aliempa mimba alafu anatokea mtu anakubali kumuoa na kulea mtoto sio wake baada ya muda mwanamke anaanza Kuchepuka na yule aliempa mimba akamtelekeza???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake bhana.
 
Nilishasikia hiyo kitu,hawa viumbe ni noma
 
Back
Top Bottom