Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Waache watu wapendane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VingiNiambie nini kinashinda mapenzi kwa utamu!
sikuhiz wanaume nao wanadanga?🤔huyo jamaa yako hana kaziUnafaa kuwa spy umepita mulemule,jamaa alikuwa anamdangia sana huyo dada,mengine pia yanawezekana
Na Tena ana kadi ya ccm[emoji1787]Huyo mwanamke nahakikisha ni mtanzania.[emoji1787]
Huyo karogwa akili.Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua mtoto ana matatizo ya kiafya ikabidi kwa kuogopa ampigie rafiki yangu aliyempa ujauzoti kuwa amejifungua na mtoto anaumwa.
Baada ya siku mbili kichanga kinafariki,jamaa anakuja msibani.
Baada ya siku saba wamerudiana wanataka kuoana
Kwangu huyu ni mwanamke kilaza sijawahi kuona
Kuwa nazo ama kuzifuta namba za mpenzi wa mtu inakuongezea nini ama kukupunguzia nini?Kwelu mapenzi ni balaa,nimefuta namba ya huyo dada maana nilitarajia angalau arobaini ipite ndio mambo mengine yangefuata
Naona wewe ndio kilaza zaidi kwa kutaka kuwawekea watu mipaka kwenye mapenzi yao. Punguza ukilaza mkuu maana wakiwa huko chobingo hujui wanaridhishana kwa kipi.Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua mtoto ana matatizo ya kiafya ikabidi kwa kuogopa ampigie rafiki yangu aliyempa ujauzoti kuwa amejifungua na mtoto anaumwa.
Baada ya siku mbili kichanga kinafariki,jamaa anakuja msibani.
Baada ya siku saba wamerudiana wanataka kuoana
Kwangu huyu ni mwanamke kilaza sijawahi kuona
Tangu jimeandika uzi huu mpaka leo,hyo dada kamfumania jamaa,kalambwa makofi mpaka kulazwa na polisi wamepelekana.Naona wewe ndio kilaza zaidi kwa kutaka kuwawekea watu mipaka kwenye mapenzi yao. Punguza ukilaza mkuu maana wakiwa huko chobingo hujui wanaridhishana kwa kipi.
Mapenzi ya watu wawili achana nayo. Mwishowe wewe utaonekana ndio mchawi.Tangu jimeandika uzi huu mpaka leo,hyo dada kamfumania jamaa,kalambwa makofi mpaka kulazwa na polisi wamepelekana.
True love ya kukwepa majukumu inapatikana bongo kwa wasio na ubongo tu.Kamwe huwezi kutenganisha true love kwa kitu chochote,
Mtoa mada mwenye anaitwa mdukuzi, we unategemea nini hapoAchana na issue za watu,Fuata yako
Wanawake wasiokua na akili na viazi kama hao mbona wapo weng sana, tena wengi sana wapo, ndo walivy hawa wanawake akili zao zipo kwapaniAlipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua mtoto ana matatizo ya kiafya ikabidi kwa kuogopa ampigie rafiki yangu aliyempa ujauzoti kuwa amejifungua na mtoto anaumwa.
Baada ya siku mbili kichanga kinafariki,jamaa anakuja msibani.
Baada ya siku saba wamerudiana wanataka kuoana
Kwangu huyu ni mwanamke kilaza sijawahi kuona
Brother inaonekana unaumia sana au ulikuwa ndio unabebeshwa mzigo wa matumizi nn???Nimefuta na namba ya huyo shemeji yangu maana nimeshindwa kumuelewa kabisa