Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Nilivyoona huyo dada kama kafrahia kifo cha mtoto, maana kimemrudisha jamaa na sas wanaplan kuoana
 
Huyo si mjinga. Huenda walikubaliana kuua hicho kimalaika. Vinginevyo ni mgonjwa au anatafuta mtoto mwingine. Kuna akina mama ambao walishakata tamaa ya kuolewa. Akipata wa kumpanda na kumpandikiza hajali yajayo.
Dah mapenzi kizunguzungu
 
True love Will always emerge victorous.
The lady seems to have madly fallen in love with the deadbeat father.
True love ni ile isiokuwa na conditions wala expiry date. Hizi zingine ni obsessions tu na illusions,

unaona hupendwi au upo katika toxic relationship lakini bado umeganda kusubiria siku moja utafunga ndoa kwa kudhani kuwa ndio destination kumbe inakuwa ndio mwanzo wa mateso katika kifungo huru..

Kiufupi hao wawili wanajuana na wao ndio wanajua sababu ya kuachana kama washawahi hata kuachana na pia sababu ya kugandana. Mawazo na judgements za wengine ni extra
 
Kwelu mapenzi ni balaa,nimefuta namba ya huyo dada maana nilitarajia angalau arobaini ipite ndio mambo mengine yangefuata
Hapo humwambii kitu, kafika kaweka nanga haoni ,hajiwezi achana na kitu inaitwa mapenzi ni balaa
 
Back
Top Bottom