Kwelu mapenzi ni balaa,nimefuta namba ya huyo dada maana nilitarajia angalau arobaini ipite ndio mambo mengine yangefuataHayana komando mapenzi, ukipenda unakuwa zaidi ya chizi ndio sababu watu wanasafiri kati ya bara moja na jingine sababu ya mapenzi...
Mwanaume ndo hana akiliAlipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano.hakuna sms wala calls wala matumizi...
KwakweliππππAtakua shabiki wa SSC.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikae hapa nijifunze jambo kuhusu Mapenzi...
Maisha magumu ndugu yangu. Mwanamke kuolewa tu ni ajira tosha isiyo na Job descriptionAlipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano.hakuna sms wala calls wala matumizi...
Huyo si mjinga. Huenda walikubaliana kuua hicho kimalaika. Vinginevyo ni mgonjwa au anatafuta mtoto mwingine. Kuna akina mama ambao walishakata tamaa ya kuolewa. Akipata wa kumpanda na kumpandikiza hajali yajayo.Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano.hakuna sms wala calls wala matumizi...
Aiseh mwanamke mpumbavu kabisa sijawai onaπAlipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano.hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua mtoto ana matatizo ya kiafya ikabidi kwa kuogopa ampigie rafiki yangu aliyempa ujauzoti kuwa amejifungua na mtoto anaumwa.
Baada ya siku mbili kichanga kinafariki,jamaa anakuja msibani.
Baada ya siku saba wamerudiana wanataka kuoana
Kwangu huyu ni mwanamke kilaza sijawahi kuona