Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Huyo karogwa akili.
 
Kwelu mapenzi ni balaa,nimefuta namba ya huyo dada maana nilitarajia angalau arobaini ipite ndio mambo mengine yangefuata
Kuwa nazo ama kuzifuta namba za mpenzi wa mtu inakuongezea nini ama kukupunguzia nini?
 
Naona wewe ndio kilaza zaidi kwa kutaka kuwawekea watu mipaka kwenye mapenzi yao. Punguza ukilaza mkuu maana wakiwa huko chobingo hujui wanaridhishana kwa kipi.
 
Naona wewe ndio kilaza zaidi kwa kutaka kuwawekea watu mipaka kwenye mapenzi yao. Punguza ukilaza mkuu maana wakiwa huko chobingo hujui wanaridhishana kwa kipi.
Tangu jimeandika uzi huu mpaka leo,hyo dada kamfumania jamaa,kalambwa makofi mpaka kulazwa na polisi wamepelekana.
 
Kamwe huwezi kutenganisha true love kwa kitu chochote,
True love ya kukwepa majukumu inapatikana bongo kwa wasio na ubongo tu.
True love ya wakati wa raha ipo bongolala land pekee.
Kipimo cha true love ni nyakati ngumu.
 
Wanawake wasiokua na akili na viazi kama hao mbona wapo weng sana, tena wengi sana wapo, ndo walivy hawa wanawake akili zao zipo kwapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…