Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Na ndo mnayapenda sasa....
Ila jamani kunenepa ni rahisi sana kuondoa huo mwili ni mtiti...
Kama unaweza kuuzuia mwili uzuie kabisa usije hata kwa wanaume sio wanawake tuu...mwanaume anakua na tumbo mpk viungo vyake vya msingi vinapotea...
 
Back
Top Bottom