Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Hii tabia ya vijana kutaka kutembea na wamama watu wazima, naona inaota mizizi
Na wamama wenyewe, umri wa miaka 54/57 nyege mnazitoa wapi kama sio kutaka kudharirishwa tu na watoto wenu, maana unapotembea na Kijana wa umri wa mtoto wako si ni aibu hiyo kwako
Mtoto wa mwenzio, ni mtoto wako