Sisi wengine tunapenda hiyo minyama nyama wala hutwambii kitu, ulilala nalo utajisikia Raha kwenye nafasi hadi rohoKuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.
Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.
View attachment 3680944
😂😂😂Hahaaaaaa Mbinguni watapewa miili MIPYA.
Eti Visinia na juice Nusu JAGI hahahahaaaa
Hahahaaa kila mtu atafikiwa ni swala la muda tu.Hatimaye tumefikiwa.
Enheee.
Sifa ya mshangazi wa kweli ni pesa alafu awe amejenga nyumba tofauti na hapo ni bonge tu kama mabonge wengneHao ndio mishangazi ya kweli, wanasema vijana.
😂😂😂
Hembu ona mbavu zilivyonenepeana😁Tuwachee💃🏽View attachment 3680974
Tutafika tumechoka sanaaKuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.
Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.
View attachment 3680944
Hata akiwa na pesa ni kujamba jamba tu hovyoSifa ya mshangazi wa kweli ni pesa alafu awe amejenga nyumba tofauti na hapo ni bonge tu kama mabonge wengne
Hahahaaa! Kweli kabisa.Hahahaaa kila mtu atafikiwa ni swala la muda tu.
#TEAM_TIPWATIPWA_TETEMA.
Ana bonge ya mbavu😎Hembu ona mbavu zilivyonenepeana😁
Kabeeesa. 😂Tuwachee💃🏽View attachment 3680974
Peeega makofeeeeeeeee!!Kabeeesa. 😂
Ujue nimejikuta nacheka peke yangu lol.Peeega makofeeeeeeeee!!
Kumbe ni vizuri nimepungua, ila jamani mpaka mashavu mnatukaanga nayo 😂Naunga mkono hoja , unakuta hata 30 halina ila mashavu kama ya paka shume