Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Ujue nimejikuta nacheka peke yangu lol.

Nawaza ile picha unayoitengeneza. 😂
smurda.gif
 
Kumbe wanawake pekee ndio wanaonenepa?

Ila humu mbona mnapenda kuwa bullies kwa wanawake? Shida ni malezi yenu, elimu, maisha magumu au kitu gani?
Nimekaa hapa mahali kuna mmama namtazama ni mnene mpaka sio poa, mkono wake mmoja ni kama kama mikono yangu mitatu
 
Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.

Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.

View attachment 3680944
Naam Nyama nyingi, ugali kidogo
 
Back
Top Bottom