Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mapema sana napata marks za juu 😂kuna intavyuu! ya picha.
piga picha dushelele lako umtumie, ukipass hapo unalipata hilo
Mzigo upo fresh
Mapema sana napata marks za juu 😂kuna intavyuu! ya picha.
piga picha dushelele lako umtumie, ukipass hapo unalipata hilo
Imebidi nijiangalie kwenye kioo aisee!!!!
Nimeona unene uliopitilizaumejionaje ?
Ile miaka hiyo ,, saa hii ni mshangazi unao miliki titi, tumbo, tako.Ukisikia Pamela na Kipini, ndio huyu sasa.
We upo vizuri, stori yako ile naikumbuka. 😊
Naunga mkono hoja , unakuta hata 30 halina ila mashavu kama ya paka shume
Wanywe konyagiSasa huyu bidada,
Sasa Mangi we si daktari; toa ushauri sasa wa kitaalam kwa dada zako matipwa tipwa! 😊
Inasikitisha,Nimeona unene uliopitiliza
Ile miaka hiyo ,, saa hii ni mshangazi unao miliki titi, tumbo, take.
Tuonee huruma konyagi kali mnoWanywe konyagi
My dear mimi hiyo michesho sio sana kivile...We bado sana, ila punguza mchemsho na bia.
Ila usisahau na mazoezi kidogo , bia ukizingatia tizi wala haina shida , uache bia ili iweje sasa?My dear mimi hiyo michesho sio sana kivile...
Bia siwezi kabisa kuacha labda itokee sababu maalum.
Mazoezi nafanya ,,Ila usisahau na mazoezi kidogo , bia ukizingatia tizi wala haina shida , uache bia ili iweje sasa?
Wee jamaa fala sana.Naunga mkono hoja , unakuta hata 30 halina ila mashavu kama ya paka shume
Ndio ndioWee jamaa fala sana.
Apo chacha .. bila ya gambe hukuna jambo.Ila usisahau na mazoezi kidogo , bia ukizingatia tizi wala haina shida , uache bia ili iweje sasa?
Bia tamu , nakunywa bia toka darasa la tano mpaka sasa 40 bado ni kimbau mbau tuApo chacha .. bila ya gambe hukuna jambo.
Stori zako zimeniaibisha barabarani.Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.
Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.
View attachment 3680944
Sababu unajua kucheza na beat.Bia tamu , nakunywa bia toka darasa la tano mpaka sasa 40 bado ni kimbau mbau tu