Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.

Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.

View attachment 3680944
Kuwasha camera na kuonesha maumbile ni wapi huko Fb, Insta au wapi?
 
Kimanyoko zenu... Wakwangu tulibebana akiwa ni mwanamke wa ndoto zangu ila kwa sasa amekua kama simtank

Nalia sana mimi hasa ukizingatia zile styles zangu pendwa ananipa kwa mashart 😭😭😭😭

Seran okoa jahazi tafadhali 🙄
Hapo ukimwambia a ride ananyanyua mguu kama kiboko anavuka tuka👇 Seran wangu leo yupo wapi tukalewe.
Screenshot_2026-09-30_154824.jpg
 
Back
Top Bottom