Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

84E5F604-DFC0-46A9-8094-BD04A3723284.jpeg
 
Kwani siku zingine hua anapikaje mpaka leo ndio umeamua kupost hiyo picha?
Coz sioni cha ajabu hapo,pengine hicho chakula ni cha ajabu kwako kutokana na vyakula ulivyokua unakula kabla ya hicho chakula kilichokushawishi mpaka kukipiga picha na kukianzishia Uzi JamiiForums.
 
Kupika napo ni kipaji sio kila mtu kajaliwa mkuu.
Kuna wanaopenda kupika wengine wanapika ila sio kitu wanacho enjoy.
Hivo hivy kwenye majukumu mengine.
kujiendekeza tu mamiloo, ukitaka unajifunza tu na unakuwa mtaalamu kuliko hata hao wenye kipaji, kuna demu wangu alikuwaga kunipa bj ni hataki, anasema anaona kinyaa, akaja akaolewa, siku tunakutana baada ya miaka kadhaa nikamtania tukapashe kiporo, akajbu ndo nilikuwa nasubiria uniambie, mamiloo nilifanyia vtu hajai nifanyia muda wote nilikuwa naye, mwishoni nikamuuliza, haya yote umejulia wapi? akanijbu mitandao baba.

kila kitu kinawezekana ni wewe tu na juhudi zako.
 
Back
Top Bottom