Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kwani siku zingine hua anapikaje mpaka leo ndio umeamua kupost hiyo picha?
Coz sioni cha ajabu hapo,pengine hicho chakula ni cha ajabu kwako kutokana na vyakula ulivyokua unakula kabla ya hicho chakula kilichokushawishi mpaka kukipiga picha na kukianzishia Uzi JamiiForums.
Picha yenyewe kaiba fb🤒
 
AI inaleta balaa mtaani.

Kila mtu anabuni anachokipenda na kusema ni vitu halisi vinavyoishi,kibongo bongo chakula kama hicho ili mke akipike anatakiwa ndani ya 4hrs asiwe na kazi ya kufanya otherwise atapika sikukuu tu na tena kuwe na wageni.
Nyie watu mnaishi maisha gani na huwa mnakula nini?

Mbona ni msosi wa kawaida kabisa huo, na mtu anaejua mapishi hachukui zaidi ya dakika 20.
 
Back
Top Bottom