Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Unaoa mwanamke hajui kupika chapati??? mzima kichwani kweli wew 😀 😀 😀
 
AI inaleta balaa mtaani.

Kila mtu anabuni anachokipenda na kusema ni vitu halisi vinavyoishi,kibongo bongo chakula kama hicho ili mke akipike anatakiwa ndani ya 4hrs asiwe na kazi ya kufanya otherwise atapika sikukuu tu na tena kuwe na wageni.

Mkuu kuna ugumu gani hapo hadi ihitajike masaa yote hayo?
 
Kawaida sana hiyo mkuu,

Ukiondoa chapati ambazo nitanunua ila hicho kingine ni kawaida sana.
 
Back
Top Bottom