Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋

View attachment 2838429
Mkuu punguza wanga na mafuta mafuta. Mwilini, siku sio nyingi huo my wife wako anayejua kupika vijana watashughulika

Baada ya madhara ya wanga na mafuta futa mwilini.
 
Back
Top Bottom