Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Kwani siku zingine hua anapikaje mpaka leo ndio umeamua kupost hiyo picha?
Coz sioni cha ajabu hapo,pengine hicho chakula ni cha ajabu kwako kutokana na vyakula ulivyokua unakula kabla ya hicho chakula kilichokushawishi mpaka kukipiga picha na kukianzishia Uzi JamiiForums.
Umeoa au umeolewa?
 
Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋

View attachment 2838429
Mke wangu alinipikia hivyo vichapati nikamfukuzia mbali, mwanaume anakula sima tena iliyokomaa, hiyo peleka Zenji kwenye legelege.
 
kujiendekeza tu mamiloo, ukitaka unajifunza tu na unakuwa mtaalamu kuliko hata hao wenye kipaji, kuna demu wangu alikuwaga kunipa bj ni hataki, anasema anaona kinyaa, akaja akaolewa, siku tunakutana baada ya miaka kadhaa nikamtania tukapashe kiporo, akajbu ndo nilikuwa nasubiria uniambie, mamiloo nilifanyia vtu hajai nifanyia muda wote nilikuwa naye, mwishoni nikamuuliza, haya yote umejulia wapi? akanijbu mitandao baba.

kila kitu kinawezekana ni wewe tu na juhudi zako.
Nilipata mmoja namie mtoto anakatikia mashine yule balaa tena kwa mikao ya kila aina namuuliza huu utundu umeujulia wapi akanijibu kama huyo wa kwako mitandaoni huko
 
Wewe anakupikiaga kama cha wapi? Pili mke unaye?
Nina mke mzuri kweli,ananipikia kma tuko morogoro vijijini, haweki sources nyingi hvo kwenye vyakula,
Actually nakupa pongezi kupata mke wa hvo, safi sana, ww migahawa utasahau. Utakula nyumbani tu.
Mm nilipenda sana supu ya utumbo ya mgahawani, illa naipata ndani saiv.
 
H
Naona shemeji kahitimu elimu ya mapishi anafanya majaribio
HAkuna cha shemeji wala shemegi,ni AI,mimi nimeiambia initengenezee,imetengeneza hizi picha ambazo hazina tofauti na za muleta hoja
 

Attachments

  • OIG..jmQ7uz6DLQFRI.jpeg
    OIG..jmQ7uz6DLQFRI.jpeg
    20.2 KB · Views: 15
  • OIG.3do.jpeg
    OIG.3do.jpeg
    182.2 KB · Views: 19
Kwani siku zingine hua anapikaje mpaka leo ndio umeamua kupost hiyo picha?
Coz sioni cha ajabu hapo,pengine hicho chakula ni cha ajabu kwako kutokana na vyakula ulivyokua unakula kabla ya hicho chakula kilichokushawishi mpaka kukipiga picha na kukianzishia Uzi JamiiForums.
Acha wivu mzee baba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom