Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano ๐๐๐
View attachment 2838429
Hahaha mzee baba unavyosifia huo msosi wakati ni chapati, njegere na nyama tu hizo...