Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hi guys..
Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana.
Mimi wangu ni hawa..
  • Runtown
  • G nako (akishilikishwa)
  • Jux
  • Celine Dion
  • Enrique Iglesias
  • Sia
  • Katy Perry
  • Paul okoye (Rude boy)
  • Kala Jeremiah
  • David Gueter
  • Dj Snake
  • Westlife
  • P Square
  • Lucky Dube
  • Boys in the B (UB40)
  • Mathey
  • Monique Seka
  • Dolly Parton
  • Makoma
  • Kwaya ya St. Yuda thadeus Mbeya
  • Sauti Sol
  • Sean kingston
  • Sean paul
  • Busy signal
  • Roma
  • Nikikumbuka wengine nitakuja kuongeza..
Weka wasanii wako tuone..
 
ATM--yule jamaa akiwa anatema mistari ratatatatatatatatatatata zinamwagika tu pesa,,,hajawahi kuangusha
Haya hua maneno ya maskini
Tajiri hua hakai anazungumza habari za hela mitandaoni
 
Back
Top Bottom