Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Hayo ni mawazo yako wewe, ila kiukweli hakuna msanii anayetoa hit kila nyimbo eti kila wimbo we unaupenda tu. Ukisikia team mondi au team kiba ndo huanzia kutokana na tabia ya mtu kujifanya anasupport kila wimbo wa msanii anaotoa.
Wasikilizaji wa kweli wa muziki hupenda wimbo kulingana na interest zake na sio kusema eti kila wimbo atakaotoa msanii kwake utahit
BIG NO!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikilizaji wa kweli wa muziki hupenda wimbo kulingana na interest zake na sio kusema eti kila wimbo atakaotoa msanii kwake utahit
BIG NO!!
Sent using Jamii Forums mobile app