G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,254
- 2,519
Le Grand Mopao ni balaa la dunia nzima, huyu mzee natamani aendelee kuishi milele daima, kikwazo ni lugha ya kilingala ingekua kama English huyu mzee angekua msanii wa dunia nzima. Mzee ana nyimbo 120+
Sent using Jamii Forums mobile app