Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

Frank Edwards
Ada Ehi
Ben pol
Joel Lwaga
Paul Clement
Ambwene Mwasongwe
Marioo
 
mimi hapa.

wengi watakataa lakini kiukweli sijawahi kutoa nyimbo mbovu.
 
Kuna watu hawaji na wasanii wao,wanakuja kupinga list yako,na ukizingatia umesema kwa upande wako.
Nawasilisha na nasubiri kuona.
 
Uliimna nyimbo zipii
sijaimba kabisa mkuu ila mm ni msanii wa kuchora..

hapo juu hawajazungumzia wanamuziki bali wasanii kiujumla hivo narudia kukazia kua "sijawahi kuimba nyimbo mbovu" licha ya kua sijawahi kuimba yoyote.

sijui ume-grasp my point!?
 
Unamaanisha hujawahi kuchora mchoro mbaya as long as nimewataja wasanii sio wanamuziki. Right
 
Shaggy

Taylor swift

The Script

Usher Raymond

Cash Cash

Chris Brown

Wayne

Celine Dion
 
Oliver ngoma
Rude boy
Ibrahnation
Heri muziki
Simi
Meddy
Ric hassani
Kwesta
Foby
Jux (za zamani)
Adekunle gold
Kuami Eugene
 
Back
Top Bottom