Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

As a pro music fan, and from my widened experience.
Kwa Tanzania ni
Alikiba
Mr Blue
Roma
Lameck Ditto
Vanessa
Jux
Mzee yusuph

SAUTI SOL(kenya)

Gospel
Angel Bernard
Ambwene Mwasongwe
AIC Chang'ombe
Christina shusho
Fanuel sedekia(deceased)
babette(kenya)

OTHERS
A. R Rahman(Hindi:singer/composer)
Audit Narayan(Hindi,mara nyingi playback)

Celine dion na % kubwa ya Blue music
Eminem.
Adele
ED Sheeran
Kenny Rogers
Mwenye viewers nyingi kuliko wote duniani:MALUMA
Timberlake?
Iglesias

Classic songs(plays/opera/soprano)
Andrea Bocelli
Jose carreras
Sissel
placido domingo
Na mwanaume aliyekuwa na sauti kuzidi wote LUCIANO PAVAROTTI.




Bila ushabiki hawa wanaimba vizuri, nyimbo zao zinaweza hit hata kwa mwaka mzima na unaweza kusikliza hata mbele ya wazazi wako.
Hapo kwa Vanessa sasa umenikosha mnoooh.
 
Back
Top Bottom