Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

Kabisa Wanaleta Yale Mambo Ya Radio Mawingu Kipindi Kile.
Shida ya hili game kwa Sasa limeshikwa huko USAFINI...
Kuna shida mahala..Yani ili utoke unalazimika kupita kwao.

Ifike mahala hizi media nazo ziache urasimu.

Huyu dogo Ni talent..
 
Shida ya hili game kwa Sasa limeshikwa huko USAFINI...
Kuna shida mahala..Yani ili utoke unalazimika kupita kwao.

Ifike mahala hizi media nazo ziache urasimu.

Huyu dogo Ni talent..
Marioo na wengine walitoka na hiyo wasafi ikiwepo, hiyo haiwezi kuwa excuse, ngoma konki itapenya tu kwenye masikio ya walaji na muhusika anagonga maokoto
 
Mnaosema a me copy tupeni hizo og tuzione
Shida yao wamekariri, sample za beat na jinsi ya uumbaji anaitumia za kinigeria ila uandishi wa maneno na melody ni vyake sasa utasemaje amecopy? Ni sawa Mimi niimbe RnB kama zile za kina R.kelly Kwa kutumia sample za beat hizo ila melody na uandishi uwe wangu, sa hapo ntakuwa nimemkopi nani?
 
Ni kama wanauvyotumia beat za Amapiano kwahyo wamekopy
 
Kaz ipo hapo nikitoa zangu si mtasema ni hiting yaan kwenye hit zimepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…