Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzoni hata mi nilimkubali Ila nilipogundua n copy... Nikasema hapa hamna kitu..MBONA KAMA NYIMBO KACOPY KUANZIA BEAT ZA NIGERIA NA KUIMBA
Ku copy sio dhambi kikubwa u copy kwa usahihi tena u copy vitu vizur na raia wakikukubali bas inatosha, mbona wachezaji wa mpira wanakopiana kwann muziki iwe marufuku ku copy?Mwanzoni hata mi nilimkubali Ila nilipogundua n copy... Nikasema hapa hamna kitu..
Copy ya kufa ntuDogo ana ngoma yake inaitwa YOU kali kinyama
View attachment 2877062
Dogo kaharishaMBONA KAMA NYIMBO KACOPY KUANZIA BEAT ZA NIGERIA NA KUIMBA
Copy kwa nani ?Copy ya kufa ntu
Hakuna innovation hapo
kiukweli hii ngoma ni kali halafu uyu jamaa si ni mkenya sijui au ni mbongo..?
Huyo unayemsema wewe anaitwa Bruce melody ni msanii wa Rwandakiukweli hii ngoma ni kali halafu uyu jamaa si ni mkenya sijui au ni mbongo..?
Yuko vizuri, ila msanii ni bidhaa kwa hiyo anahitaji mtu wa masoko na wakumsimamia.View attachment 2876967 My Love. Kibao matata kabisa.
Naunga mkono hoja,Hamna msanii hapo, wenye jicho la kusikiliza tunasema hana jipya all ni copy and paste hana uniqueness yoyote hana tofauti na wafanya cover. Nimemaliza bisha.
Hiki kichwa ni namba chafu. Nyimbo zake pendwa kwangu ni MAPENZI na BAM. Nimewahi kusafiri toka Mwanza hadi Dar naziskiliza hizo ngoma mbili tu kama playlist, kwenye earphones ambapo nasikia kila kionjo cha ala za midundo pamoja na vocal yake. Hadi Leo he's my favorite.Kuna huyu chalii mwengine anaitwa Fabi Africa ni mbongo na hii album yake ni kali balaah itafuteView attachment 2877068View attachment 2877069
aaah basi ndo huyo mkuu nkajua ndo uyu aloimba hii nyimbo kumbe kuna mbongo na mrwandaHuyo unayemsema wewe anaitwa Bruce melody ni msanii wa Rwanda
aaah nmeelewa mkuu kumbe wako wawili bruce melody na bruce africaChalii ya R huyo...
Hajaandikwa Sana huko mtandaoni... Ila nafikiri Ni mbongo..kiukweli hii ngoma ni kali halafu uyu jamaa si ni mkenya sijui au ni mbongo..?
Shida ya hili game kwa Sasa limeshikwa huko USAFINI...Hawavumi Ila Wamo!
Haters hawakosekani Mkuu..Ku copy sio dhambi kikubwa u copy kwa usahihi tena u copy vitu vizur na raia wakikukubali bas inatosha, mbona wachezaji wa mpira wanakopiana kwann muziki iwe marufuku ku copy?
Iwekeni hapa hiyo ngoma aliokopi Basi...Copy ya kufa ntu
Hakuna innovation hapo