Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

Mwanzoni hata mi nilimkubali Ila nilipogundua n copy... Nikasema hapa hamna kitu..
Ku copy sio dhambi kikubwa u copy kwa usahihi tena u copy vitu vizur na raia wakikukubali bas inatosha, mbona wachezaji wa mpira wanakopiana kwann muziki iwe marufuku ku copy?
 
Kuna huyu chalii mwengine anaitwa Fabi Africa ni mbongo na hii album yake ni kali balaah itafuteView attachment 2877068View attachment 2877069
Hiki kichwa ni namba chafu. Nyimbo zake pendwa kwangu ni MAPENZI na BAM. Nimewahi kusafiri toka Mwanza hadi Dar naziskiliza hizo ngoma mbili tu kama playlist, kwenye earphones ambapo nasikia kila kionjo cha ala za midundo pamoja na vocal yake. Hadi Leo he's my favorite.
 
Hawavumi Ila Wamo!
Shida ya hili game kwa Sasa limeshikwa huko USAFINI...
Kuna shida mahala..Yani ili utoke unalazimika kupita kwao.

Ifike mahala hizi media nazo ziache urasimu.

Huyu dogo Ni talent..
 
Ku copy sio dhambi kikubwa u copy kwa usahihi tena u copy vitu vizur na raia wakikukubali bas inatosha, mbona wachezaji wa mpira wanakopiana kwann muziki iwe marufuku ku copy?
Haters hawakosekani Mkuu..
 
Back
Top Bottom