Kuna wasichana ni vigeugeu siku hizi?

Kuna wasichana ni vigeugeu siku hizi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,848
Reaction score
7,762
Habari JF mapenzi.

Nimewahi kwenda sehemu fulani kwa kazi ya shirika lisilo la kiserikali. Tulianza kuongea na vijana takribani 200 huku Kati yao wasichana ni 130. Mbele alikaa mrembo fulani na kuonesha ishara zote ananipenda.

Mara aniangalie kwa pozi la mapenzi huku nkiongea, mara arembue nikimwangalia nk. Siku ya pili asubuhi nilikuja kubaini kahamishia mapenzi kwa mwenzangu na haniangalii tena Kama Jana bali anamrembulia mshikaji ambaye tupo wote jukwaani ukumbini tukifanya kazi za kufanana. Akijua namwangalia huzuga haraka na kuangalia pembeni.

Ilifikia hatua anamtolea jamaa macho legevu huku akitoa ulimi na kuzungushazungusha.

Hali hii ya binti kukupotezea ghafula hata hamjaongea japo mwanzo kaonesha kunitaka inasababishwa na nini?
 
Kwani wewe unafaham mwanamke anavutiwa na nini hasa kwa mwanaume..??
Na kwataarifa yako, mwanamke hana uwezo wa kumpenda mwanaume pasipo huyo mwanaume kumtengeneza kiakili kwa kugusa hisia zake.
 
Ndio utafute sasa, ili mwali arudi kukulegezea macho wakati mnafundisha..😂😂
Unajua tulikuwa mchanganyiko na wanasemina wenzetu wanawake. Siku ya pili wenzangu wote walibadilisha nguo na viatu isipokuwa Mimi nilivaa nilichovaa Jana. Nikaona kakosa raha na kukumbwa na mfadhaiko. Kesho nami nilianza kubadili mavazi lakini bado kaendelea kushoboka kwa jamaa.
 
Mkuu Huyo hana tofauti na wale wa uwanja wa fisi tofauti location tu.......Af kwanini usikomae na kaz yako ya kuperform maana kinachofuata hapo inasikitisha
Mkuu Huyo hana tofauti na wale wa uwanja wa fisi tofauti location tu.......Af kwanini usikomae na kaz yako ya kuperform maana kinachofuata hapo inasikitisha
Inaumiza kupendwa na demu alafu anakupotezea ghafula. Nawaza Sana japo sina mpango naye. Ni hali ya saikolojia tu.
 
Sasa ndo unaleta heading 'wasichana WA siku hizi kigeugeu'?
Seriously?
Kicheche mmoja ndo imekuwa wasichana wote??

Kicheche cha kulegezea wanaume macho hata hakijatongozwa unakiweka vipi akilini??
aaahhhhaaaa
 
Inaonekana wewe ndio uliyekuwa unamtaka, kulembuliwa na kuangaliwa tu kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom