Kuna wasichana ni vigeugeu siku hizi?

Kuna wasichana ni vigeugeu siku hizi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hv una uhakika gani kama demi alikuelewa..? Ibawezekana ndvyo alivyo tu.. Acha kuumia kwa MTU usiyemjua wala kukuhusu... Fanya yako
 
Sasa ulishindwa nini kumfuata ukamueleza ya moyoni.Nyie ma endisamu boi mnazingua sana mnataka mtongozwe nyie badala ya nyie kutongoza.
Umeelewa mada? Sitaki kutongozwa ila nachukia kupendwa na kupotezewa ndani ya mda mfupi.
 
Back
Top Bottom