aaahhhhaaaa, hapana mkuuInaonekana wewe ndio uliyekuwa unamtaka, kulembuliwa na kuangaliwa tu kwisha kazi.
👐😂😂aaahhhhaaaa, hapana mkuu
Nikitoa utajiua, nakujuwa wewe ulivyo na hasira za karibu.Kuwa serious, toa ushauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Uuuwii.. pole sana. Umeumia sana. Kama vipi ipotezee. Endelea na mahusiano yako kabla yake.Ilikuwa ni Mimi kabisa
Nyie ma endisamu boi mnazingua sana mnataka mtongozwe nyie badala ya nyie kutongoza.
Umeelewa mada? Sitaki kutongozwa ila nachukia kupendwa na kupotezewa ndani ya mda mfupi.Sasa ulishindwa nini kumfuata ukamueleza ya moyoni.Nyie ma endisamu boi mnazingua sana mnataka mtongozwe nyie badala ya nyie kutongoza.
Mpelelezi, au changudoa?Yupo kazini huyo mkuu amka toka usingizini!
Hukumtongoza akakukubalia ,au yeye hakukwambia kuwa anakupenda ,sasa unasemaje ulipendwa alafu ukapotezewa???Umeelewa mada? Sitaki kutongozwa ila nachukia kupendwa na kupotezewa ndani ya mda mfupi.
Au ndio wewe nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Uuuwii.. pole sana. Umeumia sana. Kama vipi ipotezee. Endelea na mahusiano yako kabla yake.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Asante
Huenda ndye mwenyeweAu ndio wewe nn?
Kwanini umeuliza hivyo?Njia ya kutokea humu iko wapi?
Yamekuwa hayo tena? Wewe toa maoni yako my ❤️❤️Mleta mada una umri gani?