Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Ilikuwa ni Mimi kabisaNafikir toka mwanzo alikuwa akimwangalia jamaa yako ila kwa tamaa zako ukadhan ni wewe
Anavutiwa na niniKwani wewe unafaham mwanamke anavutiwa na nini hasa kwa mwanaume..??
Na kwataarifa yako, mwanamke hana uwezo wa kumpenda mwanaume pasipo huyo mwanaume kumtengeneza kiakili kwa kugusa hisia zake.
Ahahahaa ata mimi nimewaza iviNafikir toka mwanzo alikuwa akimwangalia jamaa yako ila kwa tamaa zako ukadhan ni wewe
Unajua siku ya Kwanza hata jamaa akitoka kidogo bado ananiangalia nikiwa pekee yangu huko juuAhahahaa ata mimi nimewaza ivi
Ndio utafute sasa, ili mwali arudi kukulegezea macho wakati mnafundisha..😂😂Anavutiwa na nini
Wewe ulikuwa unampenda???Unajua siku ya Kwanza hata jamaa akitoka kidogo bado ananiangalia nikiwa pekee yangu huko juu
Unajua tulikuwa mchanganyiko na wanasemina wenzetu wanawake. Siku ya pili wenzangu wote walibadilisha nguo na viatu isipokuwa Mimi nilivaa nilichovaa Jana. Nikaona kakosa raha na kukumbwa na mfadhaiko. Kesho nami nilianza kubadili mavazi lakini bado kaendelea kushoboka kwa jamaa.Ndio utafute sasa, ili mwali arudi kukulegezea macho wakati mnafundisha..😂😂
YapWewe ulikuwa unampenda???
SikupigaPicha jinsi anavyocheza na ulimi wake tafadhali.
Umekosea sanaSikupiga
Kuwa serious, toa ushauriUmekosea sana
Mkuu Huyo hana tofauti na wale wa uwanja wa fisi tofauti location tu.......Af kwanini usikomae na kaz yako ya kuperform maana kinachofuata hapo inasikitisha
Inaumiza kupendwa na demu alafu anakupotezea ghafula. Nawaza Sana japo sina mpango naye. Ni hali ya saikolojia tu.Mkuu Huyo hana tofauti na wale wa uwanja wa fisi tofauti location tu.......Af kwanini usikomae na kaz yako ya kuperform maana kinachofuata hapo inasikitisha
aaahhhhaaaaSasa ndo unaleta heading 'wasichana WA siku hizi kigeugeu'?
Seriously?
Kicheche mmoja ndo imekuwa wasichana wote??
Kicheche cha kulegezea wanaume macho hata hakijatongozwa unakiweka vipi akilini??
😂😂Nafikir toka mwanzo alikuwa akimwangalia jamaa yako ila kwa tamaa zako ukadhan ni wewe