4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika.
Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku akakutana na mwamba Mh. Lissu alipotamka kwamba CHADEMA iandae vijana wakapate mafunzo inje ya nchi ili waje kabiliana na mwendazake. Ndipo Mh. Lissu kupitia mitandao ya kijamii alipo mpinga vikali, mara ile account ilianza badilisha dira.
Sasa kwa muda mfupi tunashudia huko Club House vipo vyumba vingi hufunguliwa, ila nilichokuja gundua kule kwenye vyumba husika, wapo ambao wapo kama moderators ni kutafuta umaarufu, au kuonesha ana nguvu kiasi gani katika vyumba vimefunguliwa. kwamba yeye anaamini watu wake 6 ambao huongea kwa jazba ndio kila kitu katika kutatua kila jambo bila kutojua kuna mtu haongei sana ila ukimpa nafsi anaweza kuja na suluhu kwa kile mwajadili.
Wajirekebishe haraka, na siku nitakuja vitaja hivyo vyumba na hao moderators wa ajabu wanaofikili vita yoyote inaweza shinda just kwa kuwa na watu wanaoongea sana.
Mwisho
Pongezi za dhati kwa wewe mwanamapinduzi wa kweli Maria Sarungi, unapigania kitu unachokiamini hata Maria Spaces ya jana imenipasua roho sana, ila fanya mpango kuwa na Maria Club House iliyo imara, kama ilivyo Maria Spaces.
Mbili tuombe CHADEMA TANZANIA kuimarisha kila wing kuwa na Club House imara japo CHADEMA Club House inafanya vizuri, kuna watu huko wanajua wanachofanya, ila nashukuru kwa mitandao mingine mpo vizuri.
Thanks.