Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Lipo kundi dogo la watu duniani ambalo hawawezi kupata VVU hata waongezewe Damu yenye VVU. Watu Hawa niwachache Sana pia hapa Tanzania wapo. Group la Damu halihusiani Ila kinachohusika Ni kingamwili .

Watu Hawa kimsingi Kinga mwili zao Zina udhaifu fulani hivi , wa kutokupambana na magonjwa ndio pona pona Yao.

UKIMWI UNAVYOINGIA MWILINI
Baada ya VVU kuingia katika mfumo wa damu Kinga imara za mwili zinaanza mpambano Mara moja (Muulize MTU mwenye VVU alihisije katika Wiki tatu za mwanzo za maambuki) mpambano huu huanza baada ya saa 72.

Kwakuwa seli zinapambana na VVU kwa mtindo wa kukumbatia na kufungia VVU zinachukua Kama faida kutumia seli hizo hizo za magonjwa kujiimarisha na kuishi ndani ya mwili. HII INA MAANA KUWA KAMA SELI ZA KUPAMBANA NA MAGONJWA HAZITAPAMBANA NA VVU VILIVYOINGIA MWILINI HUTOPATA UGONJWA HUO
hapa tunaweza kuhitimisha kuwa kadri Kinga zako zitakuwa Active ndio utaufanya VVU vijikite kwa haraka zaidi.

Nyongeza: Chanjo yakuzuia maambukizi ikiwa MTU amejiweka katika hatari hugs kazi chini ya saa 72 tangu uingie kwenye hatari hiyo, mechanism inavyofanyika nikuzifanya seli Kinga zako kutokuona VVU VILIVYOINGIA MWILINI Kama adui (ugonjwa) na hivyo Hakuna mpambano nahiyo ndio pona yako.

Namshukuru Mungu Ada ya wazazi wangu haukuenda Bure.
 
Back
Top Bottom