Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #21
Kwahyo wewe unatafuta makosa mkuu,😃Namshukuru Mungu Ada ya wazazi wangu haukuenda Bure.
We naeee hapo umeharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo wewe unatafuta makosa mkuu,😃Namshukuru Mungu Ada ya wazazi wangu haukuenda Bure.
We naeee hapo umeharibu
Wakijichanganya shauri Yao maaan ningumu kujua Kama nawewe umo katika Hilo kundi la wachache😂Mkuu utasababisha watu vidagaa viwaozee watu kama Id yako ilivyo. 😀
Aliyewahi kuwa Rais wa South Afrika aliwahi kusema HIV ni scam, ni biashara za wazungu.
KIMEMWOZEANaam
Kivipi Mama?oRH+ mostly
Japo hizi mambo hizi bana si ajabu tulio wengi tunahisi tumo kumbe sio. 😅Wakijichanganya shauri Yao maaan ningumu kujua Kama nawewe umo katika Hilo kundi la wachache😂
Mkuu, umeelezea vizuri sana huu utaratibu wa jinsi VVU vinavyoingia mwilini na kinga mwili inavyofanya kazi. Suala la baadhi ya watu kuwa na kinga maalum dhidi ya VVU ni jambo la kushangaza na la kipekee. Hii inatuonesha jinsi mwili wa mwanadamu ulivyo na mifumo tofauti na inavyofanya kazi kwa namna mbalimbali.Lipo kundi dogo la watu duniani ambalo hawawezi kupata VVU hata waongezewe Damu yenye VVU. Watu Hawa niwachache Sana pia hapa Tanzania wapo. Group la Damu halihusiani Ila kinachohusika Ni kingamwili .
Watu Hawa kimsingi Kinga mwili zao Zina udhaifu fulani hivi , wa kutokupambana na magonjwa ndio pona pona Yao.
UKIMWI UNAVYOINGIA MWILINI
Baada ya VVU kuingia katika mfumo wa damu Kinga imara za mwili zinaanza mpambano Mara moja (Muulize MTU mwenye VVU alihisije katika Wiki tatu za mwanzo za maambuki) mpambano huu huanza baada ya saa 72.
Kwakuwa seli zinapambana na VVU kwa mtindo wa kukumbatia na kufungia VVU zinachukua Kama faida kutumia seli hizo hizo za magonjwa kujiimarisha na kuishi ndani ya mwili. HII INA MAANA KUWA KAMA SELI ZA KUPAMBANA NA MAGONJWA HAZITAPAMBANA NA VVU VILIVYOINGIA MWILINI HUTOPATA UGONJWA HUO
hapa tunaweza kuhitimisha kuwa kadri Kinga zako zitakuwa Active ndio utaufanya VVU vijikite kwa haraka zaidi.
Nyongeza: Chanjo yakuzuia maambukizi ikiwa MTU amejiweka katika hatari hugs kazi chini ya saa 72 tangu uingie kwenye hatari hiyo, mechanism inavyofanyika nikuzifanya seli Kinga zako kutokuona VVU VILIVYOINGIA MWILINI Kama adui (ugonjwa) na hivyo Hakuna mpambano nahiyo ndio pona yako.
Namshukuru Mungu Ada ya wazazi wangu haukuenda Bure.
Nimeeleza kwa namna ambayo kila mtu ataelewa kwa level zoteUna point,ila hilo somo kiwango chako ni kidogo sana kulieleza ukaeleweka...
Asante sanaMkuu, umeelezea vizuri sana huu utaratibu wa jinsi VVU vinavyoingia mwilini na kinga mwili inavyofanya kazi. Suala la baadhi ya watu kuwa na kinga maalum dhidi ya VVU ni jambo la kushangaza na la kipekee. Hii inatuonesha jinsi mwili wa mwanadamu ulivyo na mifumo tofauti na inavyofanya kazi kwa namna mbalimbali.
Umeweka wazi pia jinsi chanjo ya dharura inavyoweza kusaidia katika kupunguza maambukizi ikiwa itachukuliwa mapema, na jinsi kinga za mwili zinavyoweza kuathiri mwenendo wa maambukizi ya VVU. Hili ni funzo kubwa, hasa kwa wale walio katika mazingira ya hatari, kujua kwamba kuna hatua zinazoweza kuchukuliwa haraka ili kujikinga.
Hongera pia kwa kuelewa vizuri masuala haya ya afya na kinga mwili. Wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukusaidia kujipatia maarifa haya. Siku zote elimu ni nguzo imara ya maisha! Keep sharing knowledge, it helps wengi! 🙏👊
Jamaa ametetea kwa hoja. Pinga kwa hoja basi.Endelea kujidanganya
Hapo kwenye NYONGEZA:Mkuu, umeelezea vizuri sana huu utaratibu wa jinsi VVU vinavyoingia mwilini na kinga mwili inavyofanya kazi. Suala la baadhi ya watu kuwa na kinga maalum dhidi ya VVU ni jambo la kushangaza na la kipekee. Hii inatuonesha jinsi mwili wa mwanadamu ulivyo na mifumo tofauti na inavyofanya kazi kwa namna mbalimbali.
Umeweka wazi pia jinsi chanjo ya dharura inavyoweza kusaidia katika kupunguza maambukizi ikiwa itachukuliwa mapema, na jinsi kinga za mwili zinavyoweza kuathiri mwenendo wa maambukizi ya VVU. Hili ni funzo kubwa, hasa kwa wale walio katika mazingira ya hatari, kujua kwamba kuna hatua zinazoweza kuchukuliwa haraka ili kujikinga.
Hongera pia kwa kuelewa vizuri masuala haya ya afya na kinga mwili. Wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukusaidia kujipatia maarifa haya. Siku zote elimu ni nguzo imara ya maisha! Keep sharing knowledge, it helps wengi! 🙏👊
Umewahi kumuona mgonjwa wa HIV katika siku zake za mwisho?Aliyewahi kuwa Rais wa South Afrika aliwahi kusema HIV ni scam, ni biashara za wazungu.
Vinakufa Kaka. Baada ya muda mfupi. Uhai wa VVU unategemea Seli za Kinga za mwanadamuHapo kweny NYONGEZA:
Nyongeza: Chanjo yakuzuia maambukizi ikiwa MTU amejiweka katika hatari hugs kazi chini ya saa 72 tangu uingie kwenye hatari hiyo, mechanism inavyofanyika nikuzifanya seli Kinga zako kutokuona VVU VILIVYOINGIA MWILINI Kama adui (ugonjwa) na hivyo Hakuna mpambano nahiyo ndio pona yako.##Chanjo imesababisha cell kutokuona VVU vilivyoingia,then hivyo VVU vinakwenda wapi baada ya hapo,vinakufa au vinaendelea kuwepo kwenye damu...?
Inatakiwa vijana waoneshweUmewahi kumuona mgonjwa wa HIV katika siku zake za mwisho?
HIV is not a joke asee.