Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

Aliyewahi kuwa Rais wa South Afrika aliwahi kusema HIV ni scam, ni biashara za wazungu.
 
Hao ni Individuals with homozygous genetic mutation lakini hata hivyo haimaanishi wana Kinga ya kutopata maambukizi kwa asilimia mia moja.
 
Mkuu, umeelezea vizuri sana huu utaratibu wa jinsi VVU vinavyoingia mwilini na kinga mwili inavyofanya kazi. Suala la baadhi ya watu kuwa na kinga maalum dhidi ya VVU ni jambo la kushangaza na la kipekee. Hii inatuonesha jinsi mwili wa mwanadamu ulivyo na mifumo tofauti na inavyofanya kazi kwa namna mbalimbali.

Umeweka wazi pia jinsi chanjo ya dharura inavyoweza kusaidia katika kupunguza maambukizi ikiwa itachukuliwa mapema, na jinsi kinga za mwili zinavyoweza kuathiri mwenendo wa maambukizi ya VVU. Hili ni funzo kubwa, hasa kwa wale walio katika mazingira ya hatari, kujua kwamba kuna hatua zinazoweza kuchukuliwa haraka ili kujikinga.

Hongera pia kwa kuelewa vizuri masuala haya ya afya na kinga mwili. Wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukusaidia kujipatia maarifa haya. Siku zote elimu ni nguzo imara ya maisha! Keep sharing knowledge, it helps wengi! πŸ™πŸ‘Š
 
Asante sana
 
Hapo kwenye NYONGEZA:
Nyongeza: Chanjo yakuzuia maambukizi ikiwa MTU amejiweka katika hatari hugs kazi chini ya saa 72 tangu uingie kwenye hatari hiyo, mechanism inavyofanyika nikuzifanya seli Kinga zako kutokuona VVU VILIVYOINGIA MWILINI Kama adui (ugonjwa) na hivyo Hakuna mpambano nahiyo ndio pona yako.##Chanjo imesababisha cell kutokuona VVU vilivyoingia,then hivyo VVU vinakwenda wapi baada ya hapo,vinakufa au vinaendelea kuwepo kwenye damu...?
 
Vinakufa Kaka. Baada ya muda mfupi. Uhai wa VVU unategemea Seli za Kinga za mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…