Kuna watu “ by nature “ tu wako na muonekano wa kishamba/ kienyeji

Kuna watu “ by nature “ tu wako na muonekano wa kishamba/ kienyeji

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Yani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.

Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.

Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.

Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.

So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.
IMG_1575.jpeg
 
Hawa wa "Mwananzoni nilikuwa nakuogopa" wanakuwa wanaambiwa hivi baada ya kufanywa nini ambacho mwanzoni ilishindikana sababu ya woga?
 
Daaah ndio shida hiyo mi kuna watu nikiwaomba hela, nakosa msaada kwa jinsi nilivyo naoneka nnazo.!!!!!
 
Daaah ndio shida hiyo mi kuna watu nikiwaomba hela, nakosa msaada kwa jinsi nilivyo naoneka nnazo.!!!!!
Kwenye profile unaonekana mlevi wala huna muonekano wa kibosi, walevi hawalipi.
 
Back
Top Bottom